Tokeo la picha la TCU.GO.TZ


Kama kawaida yetu  katika nusanusa yetu tumefanikiwa kunasa hii ambayo ilikuwa ikisubiriwa na watu wengi,ni kuhusu majina ya wanafunzi waliochaguliwa na TCU 2016/2017 kujiunga vyuo vikuu mbalimbali 2016/2017.
 wale wote mlioomba vyuo kama,
  • Chuo Kikuu cha Ardhi, (ARU)
  • Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki (HKMU),
  • International Medical and Technological University (IMTU)
  • Moshi University College of Cooperative and Business Studies(MUCOOBS-MOCCU)
  • Chuo Kikuu cha Mlima Meru
  • Chuo Kikuu cha Muhimbili (MUHAS)
  • Chuo Kikuu cha Morogoro (MUM)
  • Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU)
  • Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)
  • Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO)
  • Chuo Kikuu St. Augustine cha Tanzania (SAUT)
  • Chuo Kikuu St. John cha Tanzania (SJUT)
  • Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA)
  • Chuo Kikuu cha Zanzibar
  • Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji-TEKU
  • Chuo Kikuu cha Tumaini (TU)
  • Chuo Kikuu cha Bukoba
  • Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), established in 1970 from the split of the Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki
  • Chuo Kikuu cha Dodoma,UDOM
  • Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU)


NOTE:LINK IMEKAA POA ,ANDAA USERNAME NA PASWORD YAKO ILI UONE KAMA UMECHAGULIWA KWA KU LOGIN KWENYE PROFILE YAKO! 

 kuangalia  umechaguliwa wapi bofya HAPA 

AU

==>Ingia hapa kuona ulipochaguliwa ==>TCU CAS | Search Selection



AU
 
KUONA VYUO VYENYE NAFASI BONYEZA HAPA
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Karibu tena katika blog hii

 
Top