Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametaja majina ya watuhumiwa wengine 65 wa madawa ya kulevya, wakiwemo Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Elikael Mbowe, Mwenyekiti w…
MAKONDA AITWA BUNGENI KUJIELEZA BAADA YA KUDAIWA KUDHARAU BUNGE
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kauli moja limewaita mbele ya Kamati yake ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, na DC wa Arumeru Alexander Mny…
RC MAKONDA AJIBU HOJA KUHUSIKA NA DAWA ZA KULEVYA
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paulo Makonda ametupa jiwe gizani kwa kumjibu Wema Sepetu baada ya siku chache zilizopita kuenea kwa sauti yake mitandaoni akiwa mahabusu huku akimlalamikia mkuu huyo w…
MKUU WA MKOA WA ARUSHA ATEMBELEA KWA NYOTA YA MBUNGE WA CHADEMA,GODBLESS LEMA
Kama mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema anapambana na Mrisho Gambo ili kujijenga kwa wananchi wake, basi mkuu huyo wa mkoa ananufaika na vita hiyo na anatarajia makubwa zaidi baada ya mzozo wa mwa…
SERIKALI YATANGAZA VITA KUKABILIANA NA NJAA TANZANIA
Mwezi mmoja tangu Serikali iseme usalama wa chakula ni kwa asilimia 123, jana Ofisi ya Waziri Mkuu imezitaka wizara, mikoa na halmashauri kuchukua hatua za kukabiliana na tishio la njaa ikiwamo kuzui…
ANGALIA PICHA: VIJANA 141 WAHITIMU MAFUNZO YA MGAMBO SHINYANGA
Alhamis Oktoba 20,2016-Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amefunga mafunzo ya Mgambo 141 kutoka halmashauri ya wilaya ya Shinyanga na manispaa ya Shinyanga yaliyoanza Septemba 14,2016 katik…
LORI LAGONGA KIBERENGE CHA TRENI SHINYANGA, WATU SITA WAJERUHIWA,ANGALIA PICHA HAPA
Askari polisi wa usalama barabarani wakiwa eneo la tukio,kulia ni kiberenge kilichogongwa na lori lililokuwa limebeba bia leo mjini Shinyanga-Picha zote na Shaaban Alley -Malunde1 blog…
Angalia Picha: MAADHIMISHO YA SIKU YA POSTA DUNIANI ,MWANZA WAIBUKA KIDEDEA SHINDANO LA UANDISHI WA BARUA KITAIFA
Meneja wa Shirika la Posta mkoani Mwanza, Julius Chifungo, akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani ambayo kimkoa yamefanyika leo katika Shule ya Saint Mary's Seminary (Nyegezi Sekonda…
Ukatili wa Kutisha!! WALIMU WAMSHUSHIA KIPIGO MWANAFUNZI OFISINI KWA ZAMU,WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AAGIZA WAKAMATWE MARA MOJA
Video hii ambayo imesambaa kwenye mitandao ya kijamii kuanzia leo alfajiri inawaonyesha walimu wakichangia kumpiga mwanafunzi mmoja ndani ya ofisi. …
ASKARI POLISI TISA WANUSURIKA KIFO AJALI YA GARI KWENYE MBIO ZA MWENGE WA UHURU SHINYANGA
Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Muliro Jumanne Muliro TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI:…
MCHINA AFARIKI KWA KUKANDAMIZWA NA MTAMBO WA KUSHINDILIA LAMI HUKO ARUSHA
Ujenzi wa barabara ya kuanzia Tengeru Arusha hadi Taveta Voi ya ukubwa wa km 234.3 iliyozinduliwa March 3 mwaka huu na Rais John Magufuli, wakati ujenzi ukiendelea kumetokea ajali ambapo Raia wa chi…
BABA AMZIKA MTOTO WAKE WA MIAKA MITANO AKIWA HAI
Mwanaume mmoja anashikiliwa na Polisi nchini Uganda kwa tuhuma za kumzika mwanae wa kiume mwenye miaka mitano akiwa bado hai. …
RAIS MAGUFULI AMFUKUZA KAZI KATIBU TAWALA WA MKOA WA KAGERA NA DED MAKONDA KWA KUFUNGUA AKAUNTI FEKI YA MAAFA YA TETEMEKO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 27 Septemba, 2016 amepokea msaada wa Shilingi Milioni 545 kutoka kwa Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi kwa ajili ya …
NDEGE YA PILI YA BOMBARDIER Q-400 YAWASILI TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kesho anatarajiwa kuzindua ndege mbili mpya aina ya Bombardier Q 400 zilizonunuliwa na Serikali hivi karibuni.…
JESHI LA POLISI LARUHUSU MIKUTANO YA NDANI KWA VYAMA VYA SIASA
Jeshi la polisi nchini limeondoa marufuku ya mikutano ya ndani kwa vyama vya siasa kwa madai kwamba limeridhishwa na hali ya kiusalama iliyopo nchini. …
BENKI YA NMB MANONGA SHINYANGA YANUSURIKA KUTEKETEA KWA MOTO
Benki ya NMB Manonga mjini Shinyanga imenusurika kuungua moto baada ya jengo lililopo jirani na benki hiyo mali ya bwana Mohammed kuteketea kwa moto. …
ANGALIA PICHA: BASI LA SUPER SHEM LAGONGANA NA HIACE NA KUUA WATU 13 HUNGUMALWA KWIMBA MWANZA
Daladala iliyopata ajali…
Uamuzi wa CCM kuhusu Mwenyekiti wa UVCCM anayetuhumiwa kughushi nyaraka za Usalama wa Taifa
Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF na kuvunja Bodi yote
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 21 Septemba, 2016 ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Prof. Hasa Mlawa kuanzia…
Rais Magufulia ateua Wenyeviti wengine watatu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Luteni Kanali Mstaafu Haroun Ramadhan Kondo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania.…