NDEGE ZILIZONUNULIWA NA RAIS MAGUFULI KUANZA KUTUA KESHO TANZANIA
NDEGE ZILIZONUNULIWA NA RAIS MAGUFULI KUANZA KUTUA KESHO TANZANIA

Ndege ya kwanza kati ya mbili zilizonunuliwa na Serikali za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), inatarajiwa kuingia nchini kesho ikitoke...

Read more »

TETEMEKO LA ARDHI LAHAMISHA WAFUNGWA 280 KAGERA
TETEMEKO LA ARDHI LAHAMISHA WAFUNGWA 280 KAGERA

SERIKALI imeagiza wafungwa 280 katika gereza la Kitengule wilayani hapa, wahamishwe katika kipindi cha wiki moja kupelekwa gereza la Mwisa. 

Read more »

MABILIONI YAKUSANYWA TETEMEKO BUKOBA,KAMPUNI ZA MAFUTA OILCOM,GBP NA MOIL KUJENGA SHULE ZILIZOATHIRIWA
MABILIONI YAKUSANYWA TETEMEKO BUKOBA,KAMPUNI ZA MAFUTA OILCOM,GBP NA MOIL KUJENGA SHULE ZILIZOATHIRIWA

  WAKATI vifo vya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera vikiongezeka na kufikia 17, uongozi wa mkoa huo umesema zinahitajika zaid...

Read more »

AKAMATWA KWA UCHOCHEZI FACEBOOK NA SIMU YA KIGANJANI " WANAFANYA MAZOEZI KWA AJILI YA UKUTA......."
AKAMATWA KWA UCHOCHEZI FACEBOOK NA SIMU YA KIGANJANI " WANAFANYA MAZOEZI KWA AJILI YA UKUTA......."

POLISI mkoani Morogoro inamshikilia mkazi wa kata ya Vigoi wilayani Ulanga mkoani humo, Ignasia Mzenga, kwa tuhuma za kuandika taarifa za uc...

Read more »

MAJAMBAZI YAVAMIA WAFANYABIASHARA WAKITOKA MNADANI,YAUA DEREVA WA GARI ALIYEGOMA KUTOA FEDHA NA SIMU
MAJAMBAZI YAVAMIA WAFANYABIASHARA WAKITOKA MNADANI,YAUA DEREVA WA GARI ALIYEGOMA KUTOA FEDHA NA SIMU

Majambazi wapatao 10 juzi usiku walivamia magari mawili yaliyobeba wafanyabiashara waliokuwa wakitokea mnadani na kumuua kwa risasi, dereva ...

Read more »

WANAFUNZI WACHARAZA VIBOKO WALIMU WAO HUKO KATAVI,MMOJA ANG'OLEWA MENO KWA KIPIGO
WANAFUNZI WACHARAZA VIBOKO WALIMU WAO HUKO KATAVI,MMOJA ANG'OLEWA MENO KWA KIPIGO

WANAFUNZI wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Usevya wilayani Mlele Mkoa wa Katavi, wanadaiwa kuwashambulia kwa kuwacharaza viboko walimu ...

Read more »
 
Top