ANGALIA HAPA MAJINA YA VIGOGO WALIOTAJWA KUHUSIKA NA DAWA ZA KULEVYA..YUMO MBOWE,MANJI,GWAJIMA
ANGALIA HAPA MAJINA YA VIGOGO WALIOTAJWA KUHUSIKA NA DAWA ZA KULEVYA..YUMO MBOWE,MANJI,GWAJIMA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametaja majina ya watuhumiwa wengine 65 wa madawa ya kulevya, wakiwemo Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Elikael Mbowe, Mwenyekiti w…

Read more »
08 Feb 2017

MAKONDA AITWA BUNGENI KUJIELEZA BAADA YA KUDAIWA KUDHARAU BUNGE
MAKONDA AITWA BUNGENI KUJIELEZA BAADA YA KUDAIWA KUDHARAU BUNGE

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kauli moja limewaita mbele ya Kamati yake ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, na DC wa Arumeru Alexander Mny…

Read more »
08 Feb 2017

RC MAKONDA AJIBU HOJA KUHUSIKA NA DAWA ZA KULEVYA
RC MAKONDA AJIBU HOJA KUHUSIKA NA DAWA ZA KULEVYA

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paulo Makonda ametupa jiwe gizani kwa kumjibu Wema Sepetu baada ya siku chache zilizopita kuenea kwa sauti yake mitandaoni akiwa mahabusu huku akimlalamikia mkuu huyo w…

Read more »
08 Feb 2017

BODI YA MIKOPO YATOA UFAFANUZI KUHUSU WANAFUNZI WALIOKOSA MIKOPO
BODI YA MIKOPO YATOA UFAFANUZI KUHUSU WANAFUNZI WALIOKOSA MIKOPO

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa ufafanuzi kuhusu vigezo inavyotumia katika kuchambua, kupanga na kutoa mikopo kwa wanafunzi 20,183 (asilimia 74) wa mwaka wa kwanza hadi sas…

Read more »
30 Oct 2016

KURASA ZA MBELE NA NYUMA MAGAZETI YA LEO JUMATATU,OKTOBA 31,2016
KURASA ZA MBELE NA NYUMA MAGAZETI YA LEO JUMATATU,OKTOBA 31,2016

Magazetini leo Jumatatu October 31 2016 …

Read more »
30 Oct 2016

ANGALIA HAPA MATOKEO YA MTIHANI DARASA LA SABA 2016
ANGALIA HAPA MATOKEO YA MTIHANI DARASA LA SABA 2016

Serikali imetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la 7 kwa mwaka 2016 ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 2.52 na shule iliyoongoza kitaifa ni shule ya msingi Kwema ya mkoani Shinyanga.…

Read more »
30 Oct 2016

RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE MRADI WA HOSTEL CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM,KAZUNGUMZIA SAKATA LA MIKOPO KWA WANAFUNZI
RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE MRADI WA HOSTEL CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM,KAZUNGUMZIA SAKATA LA MIKOPO KWA WANAFUNZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa Hosteli za Wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Wazi…

Read more »
21 Oct 2016

MKUU WA MKOA WA ARUSHA ATEMBELEA KWA NYOTA YA MBUNGE WA CHADEMA,GODBLESS LEMA
MKUU WA MKOA WA ARUSHA ATEMBELEA KWA NYOTA YA MBUNGE WA CHADEMA,GODBLESS LEMA

 Kama mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema anapambana na Mrisho Gambo ili kujijenga kwa wananchi wake, basi mkuu huyo wa mkoa ananufaika na vita hiyo na anatarajia makubwa zaidi baada ya mzozo wa mwa…

Read more »
20 Oct 2016

SERIKALI YAREJESHA POSHO YA SH 8500 KWA SIKU KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU NCHINI
SERIKALI YAREJESHA POSHO YA SH 8500 KWA SIKU KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU NCHINI

Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetuliza hasira za wanafunzi wa vyuo vikuu kwa kurejesha posho ya chakula na malazi ya Sh8,500 kwa kila mmoja na kwamba tofauti baina yao itakuwa…

Read more »
20 Oct 2016

SERIKALI YATANGAZA VITA KUKABILIANA NA NJAA TANZANIA
SERIKALI YATANGAZA VITA KUKABILIANA NA NJAA TANZANIA

Mwezi mmoja tangu Serikali iseme usalama wa chakula ni kwa asilimia 123, jana Ofisi ya Waziri Mkuu imezitaka wizara, mikoa na halmashauri kuchukua hatua za kukabiliana na tishio la njaa ikiwamo kuzui…

Read more »
20 Oct 2016

KURASA ZA MBELE NA NYUMA MAGAZETI YA TANZANIA LEO IJUMAA,OKTOBA 21,2016
KURASA ZA MBELE NA NYUMA MAGAZETI YA TANZANIA LEO IJUMAA,OKTOBA 21,2016

Magazetini leo Tanzania,Ijumaa,Oktoba 21,2016 …

Read more »
20 Oct 2016

ANGALIA PICHA: VIJANA 141 WAHITIMU MAFUNZO YA MGAMBO SHINYANGA
ANGALIA PICHA: VIJANA 141 WAHITIMU MAFUNZO YA MGAMBO SHINYANGA

Alhamis Oktoba 20,2016-Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amefunga mafunzo ya Mgambo 141 kutoka halmashauri ya wilaya ya Shinyanga na manispaa ya Shinyanga yaliyoanza Septemba 14,2016 katik…

Read more »
20 Oct 2016
 
Top